1.9K views
1mo ago
Rais William Ruto anasema serikali ya Kenya Kwanza iko tayari kutimiza ndoto ya marehemu Raila Odinga ya kusawazisha maendeleo katika kila pembe ya taifa hili kupitia sekta muhimu kama vile elimu, afya, nyumba na nyinginezo. Akiongea katika eneo la Kang'o Ka Jaramogi huko Bondo, kaunti ya Siaya, wakati kaburi la Raila Odinga lilipokabidhiwa kwa serikali kama turathi ya kitaifa, Ruto alisifia urathi wa Raila akisema unafaa kuhifadhiwa kwa manufaa ya vizazi vijavyo.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive