780 views
4mo ago General
Shule ya upili ya Booth huko Kikuyu,kaunti ya Kiambu,imefunga kufuatia madai ya wanafunzi kudhulumiwa kingono.Hatua hiyo inajiri polisi wakichunguza madai hayo huku tayari mkuu wa shule hiyo pamoja na mwenyekiti wa bodi ya usimamizi wakiwa wametiwa nguvuni kusaidia makachero katika uchunguzi wao. Aaron Marie anaturipotia zaidi.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive