46 views
3mo ago General
Wakazi wa kijiji cha Nyakumu katika kaunti ya Laikipia, walipigwa na butwaa baada ya mwanamke mmoja kumuua mumewe na kisha kuuzika mwili wake chumbani mwao, kufuatia mzozo wa karo ya shule. Inadaiwa Mercy Wangechi mwenye umri wa miaka 29, mama ya watoto watatu, alimvamia Jackson Mungai mwenyeumri wa miaka 66 na kifaa butu, na kumua papo hapo. Afisa wa polisi eneo hilo Daniel Kitavi, amesema mshukiwa tayari ametiwa mbaroni huku uchunguzi ukiendelea
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive