349 views
2mo ago General
Rais William Ruto amesema alijaribu kupatana na rais mstaafu Uhuru Kenyatta ili aweze kuunga mkono mpango mpya wa ustawi wa kitaifa, lakini akakataa. Akiongea kwenye mahojiano hapa Nairobi, Ruto alisema yeye binafsi alitafua kuungwa mkono na rais huyo mstaafu katika harakati za kuhakikisha kuwa viongozi wakuu nchini wanashirikiana kwa lengo la kustawisha taifa hili.Rais alisema mtangulizi wake alikuwa na chaguo la kuwa kiongozi wa kitaifa lakini badala yake akaamua kuwa mpinzani wa utawala wake.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN
Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#KBCchannel1 #Kenya #News