5 views
2 months ago General
Vyama vya wafanyikazi vimeelezea hofu kuhusu kupungua kwa idadi ya wafanyikazi kufuatia uzinduzi wa matumizi ya akili unde na teknolojia nyingine mahala wa kazi.Muungano wa vyama vya wafanyikazi nchini COTU,umesema hali hiyo inedhihirika wazi hasa kwenye viwanda na maeneo mengine ya kazi ambapo teknolojia ya akili unde inatumika,jambo ambao limeibua hisia kuhusu kupungua kwa nafasi za ajira.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN
Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#KBCchannel1 #Kenya #News