9 views
5mo ago General
Hebu tafakari hili, kijana wa kike aliyefanyiwa upachikaji wa figo mara mbili bila ufanisi wowote, kuacha shule kwa miaka minne na kuendelea kuishi na maradhi sugu ambapo kila mara unalokithiri unahatarisha maisha. Huu ndio uhalisia wa Fiona Kabitta, wa umri wa miaka 21 anakabiliana na maradhi ya figo tangu utotoni yaliyo kwenye hatua ya mwisho na sasa anahitaji usaidizi wa dharura ili aishi.
Paybill 222-111, Akaunti 1913797
Nambari ya MPesa ya babake Fiona 0716-727-012
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive