100 views
3mo ago General
Watu 15 wamefariki katika ajali mbili tofauti za barabarani katika saa 48 zilizopita. Wanane miongoni mwao walifariki papo hapo katika ajali ya barabarani eneo la Murubara, kwenye barabara kuu ya Mwea–Embu kaunti ya Kirinyaga. Wengine saba walifariki kwenye ajali ya barabarani eneo la Burnt Forest kwenye barabara kuu ya Eldoret–Nakuru.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive