108 views
2mo ago General
Zaidi ya wakenya millioni 1.5 wako kwenye hatari ya kuathiriwa na mafuriko wakati wa msimu wa mvua ya vuli ya mwezi oktoba hadi desemba. Kulingana na kituo cha kitaifa cha kukabiliana na mikasa, watu wengine 450,000 huenda wakalazimika kuhama makwao kutokana na maporomoko ya tope.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive