6 views
2 months ago General
Benki ya Absa humu nchini imetoa shilingi bilioni 204 kama mikopo na uwekezaji katika juhudi za kukabili athari za mabadiliko ya hali ya anga. Kaimu mkurugenzi mkuu wa benki hiyo humu nchini Yusuf Omari amesema asili mia 30 ya mikopo inayotoa, hufadhili miradi isiyodhuru mazingira.Benki hiyo pia ilipunguza matumizi yake ya kawi kwa kiwango cha asili mia 41 na kutoa mafunzo kwa vijana elf38 ambao sasa wana ujuzi wa kufanya biashara.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive