29 views
2 months ago General
Serikali imetetea mpango wake wa kupanda miti bilioni 15 ifikapo mwaka 2032, ikisema kuwa tayari imepanda takriban miti bilioni 2 kote nchini. Akizungumza katika shule ya msingi ya Maridadi, eneo bunge la Kwanza, Kaunti ya Trans Nzoia, Waziri wa Mazingira Deborah Barasa alisema kuwa kufikia sasa serikali ya Kenya Kwanza imepanda takriban miti bilioni 1.9, idadi inayozidi miti milioni 500 iliyopandwa katika kipindi cha miaka kumi iliyopita. Taarifa kamili ni katika mseto wa magatuzi.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive