154 views
3mo ago General
Maelfu ya mahafala wanatarajiwa kupata malipo katika mpango wa mafunzo ya kikazi chini ya mpango wa uwezeshaji vijana wa NEXT Gen. Mpango huo ambao ni ushirikiano kati ya serikali,shirika la maendeleo la umoja wa mataifa na muungano wa sekta ya kibinafsi humu nchini ulizinduliwa katika Ikulu ya Nairobi na Rais William Ruto huku kiongozi wa taifa akitoa wito kwa sekta ya kibinafsi kuchangia mpango wa serikali wa kuwalipa wanagenzi marupurupu.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive