21 views
2 months ago General
Miito inaendelea kutolewa kwa taasisi za kiusalama kutoa hakikisho la ulinzi kwa wanawake wawaniaji uchaguzi huku joto la kisiasa nchini likiendelea kupanda kabla ya uchaguzi mkuu wa mwaka ujao. Viongozi wa kike chini ya chama cha wanawake wabunge wamesema taharuki ya kisiasa inayoendelea kushuhudiwa inatia hofu na wasiwasi na huenda ikawanyima nafasi ya kupambana kisiasa na wenzao wa kiume katika uchaguzi mkuu ujao.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive