153 views
2 months ago General
Rais William Ruto amesema suala la msitu wa Mau halitaingizwa tena siasa,baada ya msitu huo kupata rasmi hati miliki yake ambayo tayari imetolewa kwa serikali ya kaunti ya Narok. Akizungumza baada ya kutoa shilingi bilioni 2.6 zitakazotumiwa katika shughuli ya kuhamisha wakazi elfu 13,000 kutoka eneo hilo la chemi chemi ya maji, rais Ruto alisema ua litawekwa ili kuulinda msitu huo dhidi ya uvamizi na ukataji miti.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN
Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#KBCchannel1 #Kenya #News