12 views
3 months ago General
Ulingo wa Siasa
Naibu rais Kithure Kindiki amewahimiza viongozi kuweka kando siasa za urithi wa mwaka 2032 na badala yake kuangazia ajenda ya serikali kuhusu maendeleo kabla ya uchaguzi mkuu ujao. Alisema juhudi zote kwa sasa zinapaswa kuangazia kutekeleza miradi ya serikali na kuboresha maisha. Alikuwa akizungumza huko Kaptagat, ambako aliwahimiza viongozi kuungamkono azma ya rais William Ruto ya kuwania hatamu ya pili ya uongozi.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive