19 views
5 months ago General
Baadhi ya mashirika ya kijamii yameibua wasiwasi kuhusu ongezeko la visa vya mauaji ya wanawake na unyanyasaji wa wanawake na wasichana humu nchini huku yakitoa wito kwa serikali iingilie kati. Mashirika hayo yakiongozwa na shirikisho la wanawake mawakili nchini FIDA sasa yanaitaka serikali kutangaza dhulma za kijinsia zikiwemo mauaji ya wanawake kuwa janga la kitaifa.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive