13 views
3 months ago General
Rais William Ruto amewahimiza viongozi na wapigaji kura kujiepusha na siasa za mgawanyiko na za kikabila, akisema zinaweza kuathiri juhudi za kuibadili nchi hii. Akizungumza wakati wa ibada ya jumapili katika kanisa la St Martin's Cathedral huko Kitui, Rais aliwaonya wakenya dhidi ya kuwachagua viongozi wasio na mwelekeo.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive