15 views
1 month ago General
Naibu Rais Kithure Kindiki ametoa wito wa kutafutwa kwa suluhu la kudumu la mgomo unaoendelea wa wauguzi, ambao alisema unavuruga huduma muhimu katika sekta ya afya kote nchini. Kindiki pia amehimiza baraza la magavana, chama cha kitaifa cha wauguzi na wakunga pamoja na tume ya uratibu wa mishahara na marupurupu (SRC) kutafuta suluhu kwa masuala ibuka ili kutoa nafasi ya kurejelewa kwa shughuli za kawaida katika sekta hiyo.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive