11 views
1 month ago General
Upatikanaji wa mitaji nafuu unasalia kuwa kikwazo kikubwa katika kuwashirikisha wanawake katika kukuza sekta ya utengenezaji bidhaa humu nchini. Hali hii sasa imechochea wanawake kutoa wito wa kuimarishwa kwa upatikanaji wa ufadhili,sera husika, na masoko thabiti ili kuwawezesha kuhama kutoka biashara ndogo ndogo hadi utengenezaji wa bidhaa wenye ushindani.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive