12 views
2 months ago General
Wanasiasa wamepewa changamoto ya kudumisha demokrasia huku taifa likijiandaa kwa uchaguzi mkuu ujao. Wito huo ulitolewa jijiniKisumu wakati wakazi na mashirika ya kiraia walipokongamana kuadhimisha miaka 16 ya katiba ya mwaka 2010 . Na jinsi mwanahabari wetu Wycliffe Oketch anavyotuarifu wimbi la vurugu la kisiasa linaloshuhudiwa, liliangaziwa.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive