7 views
2 months ago General
Wakenya wamepoteza mamilioni ya pesa kupitia walaghai wanaotumia programu za simu na jumbe fupi, kuiga huduma za benki, kampuni za mawasiliano ya simu za rununu, na hata mashirika ya upelelezi. Ulaghai huo umeongezeka zaidi kutokana na hatua ya wakenya wengi kukumbatia mfumo wa huduma za benki kupitia simu za rununu kwa shughuli zao za kila siku.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive