20 views
2 months ago General
Waziri wa usalama wa taifa Kipchumba Murkomen atafika mbele ya kamati ya bunge la taifa kuhusu usalama Jumanne wiki ijayo kufuatia ongezeko la visa vya ghasia kwenye mikutano ya kisiasa kote nchini. Wabunge wakitaja visa vya hivi maajuzi katika kaunti ya Homabay waliyakosoa mashirika husika ya kiusalama wakisema kuwa huenda visa hivyo vikazua rabsha nchini iwapo havitadhibitiwa huku nchi hii ikielekea kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka ujao.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive