29 views
2 months ago General
Kenya imeimarisha juhudi zake katika kukabiliana na changamoto za ugonjwa wa saratani huku kukiwa na wasiwasi kuhusiana na ongezeko la visa vyake nchini. Nairobi imenakili idadi ya juu zaidi ya visa vya saratani ya matiti kwa kufikisha wagonjwa 2,150 miongoni mwa kaunti zenye idadi kubwa huku Kisumu ikiweka mikakati ya kuwa kitovu cha kikanda kwa ajili ya utunzaji wa wagonjwa wa saratani huku mikakati ikiwekwa ya kuanzishwa kwa kituo maalum kwa ajili ya matibabu ya hali ya juu ya ugonjwa huo.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive