12 views
2 months ago General
Serikali imetangaza kuwa imejitolea kuhakikisha uchaguzi mkuu wa mwaka ujao unaandaliwa kwa mazingiza ya amani. Akiongea wakati wa uzinduzi wa mikakati ya kuhakikisha kwamba uchaguzi huo haukumbwi na ghasia,waziri mwenye mamlaka makuu Musalia Mudavadi pamoja na waziri wa usalama wa kitaifa Kipchumba Murkomen waliwatahadharisha wanasiasa wanaochochea chuki na ghasia nchini.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive