12 views
2 months ago General
Wahudumu wa afya wa jamii katika kaunti ya Kilifi wanaishutumu serikali ya kaunti kwa kutatiza utoaji huduma kwa wakazi kwa kuchelewesha malipo ya marupurupu yao kwa miaka mitatu iliyopita. Kwenye kikao na wanahabari mjini Kilifi, wahudumu hao walidai kucheleweshwa kwa mishahara yao kumetatiza juhudi za kuwafikia wagonjwa walio katika maeneo ya mbali.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive