17 views
2mo ago General
Kwa familia katika eneo bunge la Funyula, kaunti ya Busia kupata huduma bora za afya ni tatizo kubwa kutokana na ukosefu wa huduma kwa wakati ufaao na kuhamishiwa hospitali za matibabu maalum kwa gharama ya juu. Katika hospitali ya misheni ya Nangina wakfu wa Awori unashirikiana na hospitali hiyo kuimarisha huduma za afya kupitia ukarabati wa wadi ya matibabu ya watoto, huduma maalum na kambi ya kimatibabu kwa familia ambazo hazingeweza kupata huduma muhimu za matibabu
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN
Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#KBCchannel1 #Kenya #News