12 views
3 months ago General
Wahudumu wa afya ya jamii watakuwa wakikusanya pamoja na kuwasilisha deta ya afya kwa wakati unaofaa kupitia mfumo mpya wa kielektroniki kuhusu habari za afya ya jamii uliozinduliwa. Mfumo huo, ambao ni wa tatu unalenga kuimarisha huduma ya afya ya kimsingi, ufuatiliaji wa magonjwa pamoja na utoaji wa huduma ya afya kwa wote kupitia Taifa Care.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive