9 views
2 months ago General
Naibu raisProf. Kithure Kindiki ameushtumu upande wa upinzani kwa kukosa ajenda ya maendeleo ya taifa na kujihusisha na siasa za mgawanyiko. Akizungumza wakati wa hafla ya maafisa wa vituo vya uchaguzi wa chama cha UDA katika kaunti ya Tharaka Nithi, Prof. Kindiki alimkosoa mtangulizi wake Rigathi Gachagua, kuhusu kile alichosema ni kushindwa kutekeleza majukumu yake kwa ufanisi alipokuwa akishikilia wadhifa wa pili kwa ukubwa nchini, na hivyo kusababisha kuondolewa kwake madarakani.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive