5 views
2 months ago General
Wawekezaji humu nchini wanatoa wito wa mipango thabiti ya ushuru wakiitaka serikali kuwa na kipindi cha miaka kumi kabla ya kubadilisha viwango mbali na kutoa wakati mwafaka wa kutangaza viwango vipya vya ushuru. Wadau hao walimtaarifu afisa mkuu mtendaji wa halmashauri ya uwekezaji John Mwendwa kuwa baadhi ya wawekezaji wa binafsi wanachelea kuwekeza fedha zao kutokana na mabadiliko ya mara kwa mara ya viwango vya ushuru. Taarifa hii na nyingine ni kwenye kitengo cha Kapu la Biashara.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive