20 views
4 months ago General
KILIMO CHA KISASA
Kenya inashinikiza ubunifu zaidi katika sekta ya kilimo na utafutaji suluhu kwa athari za mabadiliko ya anga kwa kilimo ili kuhakikisha wakuliama wa mashamba madogo wanazalisha mazao mengi.Mwenyekiti wa shirika la utafiti wa kilimo na mifugo la Kenya KALRO Dr. Thuo Mathenge anasema utafiti wa kisayansi wa humu nchini unaweza kuhamishwa moja kwa moja kutoka maabara hadi kwenye mashamba ya wakulima wa mashamba madogo wa kenya kwa utekelezaji.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive