13 views
4 months ago General
Imebainika kwamba baadhi ya nafaka humu nchini imesheheni sumu kuvu ambayo inahatarisha maisha. Mkurugenzi mkuu wa shirika la utafiti wa kilimo na mifugo, (KALRO) Patrick Ketiem amesema sampuli za nafaka kutoka masoko mbalimbali ya humu nchini zimethibitishwa kuwa na viwango vya juu vya sumu kuvu. Taarifa hii na nyingine ni kwenye makala ya Kapu la Biashara.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive