39 views
2 months ago General
Wanafunzi katika chuo cha mafunzo ya kiufundi cha Nyeri wamehimizwa kutumia kikamilifu uwezo wa kilimo wa Nyeri hasa katika ufugaji wa ngombe wa maziwa na kilimo cha mboga na matunda, kujifunza kozi za kilimo zitakazowawezesha kuanzisha biashara na kuendeleza taaluma zao.Mkuu wa chuo cha kiufundi cha Nyeri Rachel Kimani,aliwahimiza wanafunzi hao kutumia vyema fursa hizo akisema chuo hicho kimetekeleza mtalaa wa umilisi na mafunzo ya masomo mbali mbali, yakiwemo kya kilimo na mazingira.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive