9 views
2 months ago General
Wakenya wamehimizwa kuwakumbatia na kuwasaidia watu walio na utindio wa ubongo ili kukomesha unyanyapaa na kubaguliwa kwao. Akiongea katika kijiji cha Kiirua, eneo bunge la Buuri, kaunti ya Meru wakati wa shughuli ya uhamasisho kuhusu utindio wa ubongo, muasisi wa shirika la Eagle Wings Dorcas Mugambi aliwataka wazazi na jamii kuwasaidia waathiriwa badala ya kuwaficha au kuwatenga.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive