814 views
3mo ago General
Mbunge wa Mukurwe-ini, John Kaguchia, anazuiliwa katika kituo cha Polisi cha Kamukunji baada ya kukamatwa leo asubuhi na maafisa wa Idara ya Upelelezi ya Jinai (DCI). Kaguchia, ambaye awali alipelekwa katika makao makuu ya DCI, anatuhumiwa kukiuka sheria ya makosa ya uchaguzi kufuatia matamshi ya kisiasa yenye utata ambayo anadaiwa kuyatoa wakati wa mkutano wa umma katika kaunti ya Nyeri.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive