12 views
2 months ago General
Familia moja katika kijiji cha Burumba eneo bunge la Matayos kaunti ya Busia inaomba usaidizi wa kifedha kutoka kwa wahisani na mashirika ya uhisani, ili kumuwezesha jamaa wao kufanyiwa upasuaji wa uti wa mgongo nchini India. Familia ya mwalimu wa zamani Margaret Ayugi mwenye umri wa miaka 65inahitaji shilingi milioni 2.5 kuwezesha upasuaji huo. Tuma mchango kwa Ian Ayugi kupitia M-Pesa 0701 016 058
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive