18 views
2 months ago General
Kampuni za bima zinategemea uzinduzi na upatikanaji wa huduma za bei nafuu ili kupanua wigo na kuwajumuisha mamilioni ya Wakenya wa kipato cha chini. Huu ndiyo ujumbe muhimu uliosheheni wakati kampuni ya bima ya CIC ilipozindua huduma itakayofaidi watu wa mapato ya chini huku ile ya Britam ikizindua bima ya matibabu kwa wafanyakazi wa nyumbani na wale wa jua kali. Huduma hizo zinalenga sehemu ya jamii ambayo kwa muda mrefu imetengwa katika utoaji huduma za bima humu nchini.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive