196 views
3mo ago General
WIGO WA USHURU
Halmashauri ya KRA ilikusanya ushuru wa shilingi trilioni 2.844 katika kipindi cha mwaka wa kifedha uliokamilika mwezi Juni ambao ni asilimia 4.18 chini ya kiasi kilichotarajiwa cha shilingi trilioni 2.968. Halmashauri hiyo inasema kiasi kikubwa cha fedha hizo kilitoka sekta za utengenezaji bidhaa, kawi, fedha, bima, habari na mawasiliano miongoni mwa nyingine.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive