69 views
4 months ago General
UBIA WA KIMATAIFA
Rais William Ruto ametoa wito kwa wakuzaji teknolojia na wavumbuzi kutoka Kenya na Finland kushirikiana katika kutafuta fursa za pamoj akatika nyanja za uvumbuzi na mabadiliko ya kidijitali. Akizungumza katika siku ya pili ya ziara yake rasmi nchini Finland, kiongozi wa taifa alihimiza kampuni za Finland kuwekeza zaidi humu nchini, akitaja taifa hili kuwa kitovu cha masoko ya kikanda na kimataifa.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive