21 views
2 months ago General
KUHUISHA SUKARI KWALE
Mipango ya kufufua kampuni ya kimataifa ya sukari ya Kwale imezinduliwa kwa lengo la kuongeza uzaishaji sukari na kuinua jamii za eneo hilo. Waziri wa kilimo Mutahi Kagwe amesema hatua hiyo itatatua changamoto ambazo zimetatiza shughuli za kiwanda hicho kwa muda mrefu.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive