8 views
4mo ago General
MGOMO WA MAAFISA TABIBU KWALE
Wauguzi katika kaunti ya Kwale wamerejelea shughuli zao za kawaida baada ya kusitisha mgomo wao wa zaidi ya siku thelathini. Kurejea kwao kunafuatia mkutano wa saa 12 ambapo makubaliano kati yao na serikali ya kaunti hiyo yaliafikiwa,serikali ikikubali kutekeleza mahitaji yote sita wanayotaka.
#KurunziMashinani
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive