5 views
2 months ago General
Kampuni za sukari zitakazoshindwa kuwalipa wakulima mara moja baada yao kuwasilisha miwa zitachukuliwa hatua na bodi ya sukari nchini. Afisa mkuu wa bodi hiyo Jude Chesire alisema kuwa mipango inatekelezwa ya kutoa adhabu kali kwa kampuni zitakazowalipa wakulima zikiwa zimechelewa. Kwa hizi na habari nyingine huu hapa ni mkusanyiko wa taarifa zetu za biashara.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive