7 views
3 months ago General
Bunge la kaunti ya Tana River limejipata pagumu kwa kuratibu kiwango cha fedha za matumizi ya kila siku, kinyume cha sheria.Gavana wa kaunti hiyo Dhadho Godhana akihojiwa na kamati ya fedha ya bunge la seneti alisema bunge la kaunti yake pia halikutumia ipasavyo fedha za hazina ya kukabili athari za mabadiliko ya hali ya angaa ya kaunti hiyo zinazotolewa na benki ya dunia. Kamati hiyo sasa inataka kumhoji spika na katibu wa bunge hilo la kaunti ya Tana River kuhusiana na swala hilo.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive