8 views
3 months ago General
Kaunti ya Mombasa imezindua mpango unaolenga kubadilisha nidhamu ya kukopa kutoka hazina ya Hustler Fund kuwa ukuaji wa biashara wa muda mrefu. Tukuze Hub ni mpango mpya wa uwezeshaji kiuchumi ambao awamu yake ya majaribio ni miezi 6 kuanzia Julai hadi Desemba mwaka huu katika kaunti tatu za Mombasa, Uasin Gishu na Nyeri.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive