16 views
3mo ago General
Maelfu ya wafanyabiashara chipukizi katika maeneo ya North Rift na kaskazini mashariki wamenufaika kutokana na awamu ya pili ya mpango wa serikali wa NYOTA wa kutoa mtaji wa kuanzisha biashara. Wale walionufaika katika awamu ya pili yausambazaji pesa hizo wametoka katika kaunti za Pokot magharibi, Turkana, Trans Nzoia, Uasin Gishu, Nandi, Elgeyo Marakwet, Mandera, Wajir na Garissa kama sehemu ya juhudi za kuimarisha biashara za vijana na kubuni nafasi endelevu za ajira.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive