41 views
3 months ago General
Baadhi ya viongozi wa mrengo wa Linda Mwananchi wakiongozwa na gavana wa Siaya James Orengo, wamemkosoa kiongozi wa chama cha ODM Oburu Odinga kuhusiana na matamshi yake wakati wa kutiwa saini kwa mswada kuhusu utajiri huru katika ikulu, ambako alionya wanasiasa dhidi ya kuhujumu miradi ya serikali. Viongozi hao walidai kwamba Oburu anatetea maslahi tofauti badala ya kuangazia mahitaji ya watu.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive