21 views
3mo ago General
Gavana wa Siaya, James Orengo, amepuuzilia mbali madai ya ukosefu wa umoja katika vuguvugu la Linda Mwananchi, akisema umoja wa mrengo huo ungali thabiti. Orengo amesema hakuna shinikizo zozote zitakazosambaratisha Linda Mwananchi huku miungano ya kisiasa ikishika kasi kabla ya uchaguzi mkuu ujao.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive