32 views
3mo ago General
Mrengo wa Linda Mwananchi, umelihimiza eneo la Magharibi mwa nchi kuunga mkono azma ya seneta wa kaunti ya Nairobi Edwin Sifuna ya kuwania kiti cha urais katika uchaguzi mkuu wa mwaka ujao. Mrengo huo umesema kwamba, Sifuna ana nafasi bora zaidi ya kupeperusha bendera ya upinzani, huku mazungumzo na vyama vingine yakiendelea. Hayo yanajiri huku aliyekuwa naibu rais Rigathi Gachagua, akianza ziara ya siku tano ya kupigia upatu chama chake cha DCP katika kaunti za Embu na Meru.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive