1.5K views
3mo ago General
Huduma ya kitaifa ya polisi imetangaza maandamano yoyote yanayopangwa kuandaliwa kesho katika kaunti ya Nairobi kuwa kinyume cha sheria, kwani hakuna notisi iliyowasilishwa. Kamanda wa polisi eneo la Nairobi Isa Mohamud amesema usalama umeimarishwa jijini na katika kaunti jirani.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive