270 views
4 months ago General
Zaidi ya familia elfu-3 katika kaunti ya Tana River, wameachwa bila makao baada ya vijiji vyao, shule pamoja na vituo vya afya kusombwa na mafuriko katika kaunti ndogo za Tarasaa na Tana Delta. Na jinsi mwanahabari wetu Aaron Marie, anavyotuharifu, hali hiyo ambayo imeendelea kwa zaidi ya mwezi mmoja, imewaacha maelfu ya wakazi bila chakula, huduma za afya na elimu..
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive