26 views
6mo ago General
Mvua kubwa inayoendelea kunyesha humu nchini imesababisha mafuriko na kuharibu barabara na makazi katika sehemu mbalimbali. Jijini Nairobi mtu mmoja amefariki kutokana na mvua hiyo. Msemaji wa serikali Dkt. Isaac Mwaura amesema mwathiriwa ambaye ni mwanamke wa umri wa miaka 29, alisombwa na mafuriko Jumanne Usiku. Wakati huo huo, huduma ya Kitaifa ya polisi inawasihi Wakenya kuwa waangalifu ili kuepuka majanga zaidi wakati huu wa msimu wa mvua.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive