23 views
5mo ago General
Shirika la afya duniani (WHO) limetangaza chamko la ugonjwa wa Ebola katika jamhuri ya kidemokrasia ya Congo (DRC) na nchini Uganda, kuwa dharura ya afya ya umma inayoibua wasiwasi wa kimataifa. Kwenye taarifa shirika la WHO lilisema kuwa visa vinane vilithibitishwa kwenye maabara, huku visa 246 vinavyoshukiwa kuwa vya ugonjwa huo na vifo 80 vinavyoshukiwa kusababishwa na ugonjwa huo vikiripotiwa katika jimbo la Ituri nchini DRC.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive